ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,682
- 16,249
Kitendo cha kuweka vigezo kua wanaotakiwa kuomba ni 2015 hadi 2022,wakati hizo nafasi zingeenda kihaki,sisi wa 2016,2015 hadi 2020 tungezijaza na yawezekana zisingetosha,kuna walakini.Baadhi ya watendaji wa serikali wanao ujinga mwingi sana.Shida ipo apa na sometime hua mtua anaeza kua amemaliza 2020 kwenye mkeka akaonekana na anaandikwa kamaliza 2016 lakin wanaomfaham wanajua kamaliza lin. Inasikitisha sana