Utapeli utapeli utapeli!!!!!!

Utapeli utapeli utapeli!!!!!!

keli salema

New Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
2
Reaction score
4
jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo

"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo. Mshahara ni 1.3million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa laki 2.5 for helping you. If you agree, do the following, by saa 11 jion uwe umetuma scanned copy ya veti vyako yo visionafrica@gmail.com na sh. elf 30 by Tigopesa kwenye namba 0713749735 au Mpesa 0759923566 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.

KUNA JAMBO LINANIPA WASIWASI, WANAJUAJE KAMA MTU UMEAPPLY KAZI OFISI FULANI? AU WANAZIPOST WENYEWE KWAHIYO ZINAKUWA NI NAFASI FEKI?
 
kwanini utegemee kuhonga akili zako ndio hongo tosha..
 
Kwa wale mliozoea kutumia madesa, atawapata tu....... Kwa hiyo sisi tukusaidieje, keli salema?
 
Last edited by a moderator:
YOUR PROBLEM IS THEIR PROFIT. So wao wanatafuta wale wako na tabu then wana use that chance kukupatia. HIYO NI SYSTEM IKO KWA MAOFISI NYINGI SANA NOW DAYS NIBORA UPITIE NJIA HALALI AU YULE ANAKUSAIDIA UMJUE VIVIDLY IWE NI FACE 2 FACE HAKUNA CHA KUBONGA KWA SIM NA ANNONYMUS ISHU YA ELA/MHAMALA.
 
jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo

"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo. Mshahara ni 1.3million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa laki 2.5 for helping you. If you agree, do the following, by saa 11 jion uwe umetuma scanned copy ya veti vyako yo visionafrica@gmail.com na sh. elf 30 by Tigopesa kwenye namba 0713749735 au Mpesa 0759923566 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.

KUNA JAMBO LINANIPA WASIWASI, WANAJUAJE KAMA MTU UMEAPPLY KAZI OFISI FULANI? AU WANAZIPOST WENYEWE KWAHIYO ZINAKUWA NI NAFASI FEKI?
Kwani uliomba kazi huko?
 
kuna mtu humu jamvini alishatapeliwa na sms hio hio ukimpa hizo elfu 30 baadae hapokei simu na huamini mtumie kama buku uone jina lake halisi ...hao ni matapeli ndugu yangu
 
rushwa ni habari ya long time tz usiogope kama mambo yako hivyo mchane bi dada muonane ujue ni nani unafanya nae biashara use ur head tumia hata namba nyingine mtafute ongea nae mpe hizo hela face to face kama anakuzingua atazikataa mwenyewe "what start well ends well"
 
utapeli umeingia had erolink wanapga cm za kulazimisha elfu 20 inakera sasa
 
mi nshatumiwa upuuzi kama huu...ila nliwachunia tu.
 
rushwa ni habari ya long time tz usiogope kama mambo yako hivyo mchane bi dada muonane ujue ni nani unafanya nae biashara use ur head tumia hata namba nyingine mtafute ongea nae mpe hizo hela face to face kama anakuzingua atazikataa mwenyewe "what start well ends well"

Mimi nilishatumia mbinu hii mijamaa haikutokea ilikua inadai itumike njia hiyo hiyo ya simu pamoja na kwamba niliemtumia alifika hapo walipodai ni ofosini na hakukua na dalili ya kua na ofisi yoyote ya ajira. Mijizi bwana!
 
mie wamenitumia leo! the best thing z that siamini kuhonga ilinipewe majibu wakati chuo nilisota mwenyewe!! n i have you guys plus google so am safe!!
 
kuna mtu humu jamvini alishatapeliwa na sms hio hio ukimpa hizo elfu 30 baadae hapokei simu na huamini mtumie kama buku uone jina lake halisi ...hao ni matapeli ndugu yangu
Huna haja kumtumia hela yeyote we zuga kama unatuma, pale kabla ya kukubali unayemtumia litakuja jina lake!
 
Cha msingi ni kuliripoti mahala husika ili huyu mtu achukuliwe hatua. Hapo tatzo litakuwa limepunguzwa.
 
ka namba ka tigo ni ka bwana Raphael mwakapalila.mzee utaingizwa mjini achana na hiyo mambo.
 
0759923566 huyu anaitwa Bryceson Mkony
0713749735 huyu anaitwa Rabhel Mwakapalila.

Huyu sio Rachel kama alivojitambulisha.
Na hizo namba ziko na majina mawili tofauti.

Wanajua vijana wengi hawana kazi.

Kuweni makini na kazi za mtandaoni kazi inatangazwa hawana hata anuani, eti tuma mail.

Samahani lakini.
 
jamani jamani huyu rachel atafutwe kwa udi na uvumba, nimepokea text yake sasa hivi kanitumia,nayo inasomeka kama ifuatavyo

"Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo. Mshahara ni 1.3million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa laki 2.5 for helping you. If you agree, do the following, by saa 11 jion uwe umetuma scanned copy ya veti vyako yo visionafrica@gmail.com na sh. elf 30 by Tigopesa kwenye namba 0713749735 au Mpesa 0759923566 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.

KUNA JAMBO LINANIPA WASIWASI, WANAJUAJE KAMA MTU UMEAPPLY KAZI OFISI FULANI? AU WANAZIPOST WENYEWE KWAHIYO ZINAKUWA NI NAFASI FEKI?

Hiyo namba ni ya Bryceson Mkony kutokana na jina la Mpesa nilijaribu kama natuma fedha mwisho nika decline. Matapeli ni wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom