Hadi hapo hauna vivid evidence... anaweza kuwa tapeli kweli ila onesha katapeli nini ...acha udaku wa watu wa daslam..
Najua ananunua gari za mikononi kisha naye anauza anazifanyia marekebisho madogo
Wakatie kambi pale ofisini kwake zi njiani Pana onekana.Bonge la Tapeli kwa sasa mnakubaliana biashara Vizuri unafika mpaka Ofisini kwao Unalipia fedha Nusu kwamba labda gari itafika baada ya siku tatu Hapo ndio David mgashi anakuwa amekutapeli simu za kawaida hapatikani tofauti na whatsaap pekeee huko ndio anakowaumiza watanzania
Ofisini kwake hupati msaada wowote utapigwa kalenda kila siku utatema ndoano mwenyewe
watu wa mikoani Ndio waumizwa wakubwa wa Jambo hili Hawana msaada wowote wanaishia kutapeliwa na mtu huyu
Wakatie kambi pale ofisini kwake zi njiani Pana onekana.
Haya mambo ya kununua gari bila kuliona kuna jamaa yangu kapigwa kaambiwa Brevis inauzwa 2m. Katuma pesa wakadai mafuta ya laki 3 kuisogeza Morogoro. Baada ya kutuma pesa simu zikazimwa
Bado hajakutana na vichwa vibovu.Sio yeye wala wale wasaidizi wake jamaa hawana cha kuogopa ......Msaidizi wake anajibu huenda bosi hela amefanyia Mambo mengine kwa hiyo vumilia hivyo Ndio umeshapigwa ......