madalali wa nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Anaandika Upete Kiwanja Milioni 50 Square Meter 400 ✍️ Mwenye Kiwanja anataka Milioni 40. Dalali anaongeza Milioni 10 ✍️ Kule kwenye UTALII nako wameingia Madalali😳🙌 Tuandae mpango kazi mzuri haraka wajameni…! Miaka minne ijayo Ardhi hatutagusa bei kwa mwendo huo✅ Sio mbaya tukaangalia na...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya wa Madalali wa Nyumba Dar es salaam

    Madalali wa nyumba jijini Dar es salaam wamekuwa matapeli kwa miaka, sasa wamewafundisha wenzao wa mikoani kama Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, Mbeya na Dodoma. Madalali ndio wamekuwa wakipandisha bei ya upangaji, DALALI: Mzee hii nyumba yako ipo lokesheni nzuri ila sasa, ikate geti tatu, alfu...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Madalali ndio chanzo cha mifumuko ya bei kila sekta hususani nyumba za kupanga

    Katika watu nawachukia ni madalali hata ukiwa na mali yako wanataka kupandisha kiasi kikubwa kupelekea hata kukosa wateja kwa wakati. Tuje kwenye suala la nyumba za kupangisha: Madalali wengi ni watu wa ajabu yani sehemu inaweza kuwa biashara hakuna ilo eneo, we ukaamua kufanya biashara na watu...
Back
Top Bottom