Utapeli mpya unaohusisha wanasiasa


Wamerudi kama nilivyowahi kuleza hapo. Mwenye kuweza kuwasaidia watz afanye hivyo jamani.
 
Aliyetuma Hiyo Post ni Mh Ridhiwani Kikwete kuwa kama Unahitaji Mkopo jiunge na Vicoba Kwa Kutembelea Htt/Vicobatanzania.wapka.mob afu upate maelekezo na jinsi ya Kupatiwa mkopo kwa hiyo mimi Nashindwa kuelewa kuwa ni kweli au ni Utapeli wa watu?
 
Mkuu mbona kila siku Zitto Kabwe kila siku anatoa taarifa kuwa hana na hajawahi kuwa na taasisi inayojihushisha na utoaji wa mikopo kama kuna hela umetoa jua hao ni matapeli
 
Jamaa saizi watakuwa Mwandiga wanakamua BIA hiyo laki tano ha ha haaaah
 
Hapa turudi kwenye somo: Kwa kutumia akili kidogo hasa ukilinganisha na akili zilizotumika kupata hiyo laki 5 haikutakiwa kuwa hivyo. Au kama hizo lk 5 zimepatikana kwa njia kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…