Kijana wangu mmoja anasoma katika chuo fulani cha computer Arusha, Baada ya wiki moja ya masomo yake nikampa kazi fulani anisaidie lakini baada ya kugusa computer yangu akabaki akishangaa, nikamuuliza kwanini akasema hayo hajafundishwa. Nilipotazama course work zake nikakuta anafundishwa Introduction WINDOWS 95,98,200O AND ME upande wa msoffice nikakuta office 97,2003. Ikabidi niende katika chuo anachosoma, nikakuta kuna wanafunzi wengi sana wanachukua mafunzo ya computer. Sikuwenza kumpata muhusika wangazi za juu wa chuo ila niliemkuta nikamwambia wanafanya wizi mmbaya sana.
hyo ndo a town bana!
Mjomba wewe mwenyewe umebugi hapo....hakuna utapeli wowote.
Kwa Arusha, kuna Acharya cha joint venture ya wa-Iran na Tz..na hapo pana walimu wanaJF kibao ninaowajua, wako njema sana kwenye computer watamfundisha hadi ashindwe yeye!
Pia kuna University Computing Centre, japo hawana final exam za kozi za computer basics, lakini wana walimu bomba!
Pia kuna COMPUTRONIX, nao wako competent sana...ulizia watu mkuu!
Ulitarajia aweze nini ndani ya wiki moja, je mtoto wako anauwezo au niwale wa kusukuma....kama ungekuwa makini kabla hajaanza ungefatilia kwanza kwamba atasoma nini na wiki ya kwanza atakuwa ameweza nini...kifupi umeonyesha ujinga wako, nyie ni kati wazazi wajinga, ambao mnalipa ada bila kujua utasoma nini mtoto wako...uizi wa vyuo vya Arusha hapo ni nini, walikwambia mwanao atasoma office 2010 halafu wakamfundisha 97?...Kijana wangu mmoja anasoma katika chuo fulani cha computer Arusha, Baada ya wiki moja ya masomo yake nikampa kazi fulani anisaidie lakini baada ya kugusa computer yangu akabaki akishangaa, nikamuuliza kwanini akasema hayo hajafundishwa. Nilipotazama course work zake nikakuta anafundishwa Introduction WINDOWS 95,98,200O AND ME upande wa msoffice nikakuta office 97,2003. Ikabidi niende katika chuo anachosoma, nikakuta kuna wanafunzi wengi sana wanachukua mafunzo ya computer. Sikuwenza kumpata muhusika wangazi za juu wa chuo ila niliemkuta nikamwambia wanafanya wizi mmbaya sana.
Ulitarajia aweze nini ndani ya wiki moja, je mtoto wako anauwezo au niwale wa kusukuma....kama ungekuwa makini kabla hajaanza ungefatilia kwanza kwamba atasoma nini na wiki ya kwanza atakuwa ameweza nini...kifupi umeonyesha ujinga wako, nyie ni kati wazazi wajinga, ambao mnalipa ada bila kujua utasoma nini mtoto wako...uizi wa vyuo vya Arusha hapo ni nini, walikwambia mwanao atasoma office 2010 halafu wakamfundisha 97?...
sasa hapa ulimpa kazi ya kuedit kitu gani katika komputer inayorun window ipi na MS Office version ipiSwali zuri, mtu aliejifunza ms office 97,2003 na windows 98 and 2000 ukimpa kutaipa barua na kuiedit katika Windows 7 na office 2007 0r 2010 unategemea nini?
Tatizo sijawahi kukutana na mtu yeyote anayesoma kozi ya computer hivi karibuni mara ya mwisho ni miaka mitano iliopita nilizani everything goes with time. lakini kumbe sivyo.
pole mdau sikujua kama chuo ni chako, pia sikujua kua mpaka uombe ufundishwe nini, kama usipoomba ndo unafundishwa windows 95 na office 97, asante pia kwa kunikumbusha kuwa mimi ni mzazi mjinga, good job. you are brilliance
sasa hapa ulimpa kazi ya kuedit kitu gani katika komputer inayorun window ipi na ms office version ipi
pia unatakiwa ufatilie je huyo mwanao alikua anaenda kuhudhuri tu au alikua anaenda jifunza na je chuo kina zana zote za kujifunzia ukisha jua yote hayo ndio uanze toa lawama mkuu.
Ni mtazamo tu!!!!
Swali zuri, mtu aliejifunza ms office 97,2003 na windows 98 and 2000 ukimpa kutaipa barua na kuiedit katika Windows 7 na office 2007 0r 2010 unategemea nini?
Tatizo sijawahi kukutana na mtu yeyote anayesoma kozi ya computer hivi karibuni mara ya mwisho ni miaka mitano iliopita nilizani everything goes with time. lakini kumbe sivyo.