Utapeli cindrex holdings

Utapeli cindrex holdings

Shanyc

Senior Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
171
Reaction score
21
Nafasi ya kazi ilitangazwa zoom Tanzania. Matokeo ndo haya


Hello, naitwa Mr. Eliud from CINDREX HOLDINGS LTD tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for HUMAN RESOURCE post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,300,000/=(take home), ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa tsh. laki 4 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 9 leo mchana uwe umetuma tshs. elfu 25 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali na majibu ntakutumia kwenye email leoleo, nitakupigia simu nikitoka kikaoni.


Tuweni makini jamani
 
Mpaka mda huu nshatoa report zoom Tanzania pamoja na polisi. Nina imani nimecheza kwenye nafasi yangu, sina deni.
 
Musipende kutumia Zoom ni waongo CV peleka mwenyewe au tuma kwa kampun husika Me nawaamini Tu hawa ever Jobs Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom