Utaokota ipi??

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Umetoka zako mjini na mwanao (chukua nafasi ya mtoto) alafu mnaishi maisha duni akakuuliza ulikua umetoka shuleni ukakuta barabarani noti ya sh.2000 na sh.5000 wewe utaokota ipi?
 
edit tena post yako , manake haijaeleweka, mtoto wako anakuuliza, au uko na mtoto wako halafu ndio umnaona hizo 2000/5000 ?
 
Back
Top Bottom