Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Hapo pembeni si kuna vyoo vya soko?
Mwambie ajifanye kama anamsaidia mwanamke anaumwa tumbo huku anamsindikiza maliwatoni.
Akimfikisha wanabanduana hukohuko
Ila wewe ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚, nimecheka sana!
 
Unazin sehem yakazi kweri una weka mikosi aisee hata kama ofisi ni yenu
 
๐Ÿ“ฃ wauzaji wa Empty Container FT20 na FT40 ๐Ÿ“ฆโœจ

Habari,

Tunauza empty container FT20 na FT40 kwa bei nafuu. Ikiwa unahitaji kuhifadhi bidhaa zako, kuanzisha biashara au kupeleka site Kama shambani n.k containers zetu zitakuwa suluhisho bora kwako!

โžก๏ธ Faida za Container Zetu

Zipo katika ubora wa hali ya juu

zinafaa kwa matumizi mbalimbali

Huduma ya usafirishaji inapatikana ila hii gharama atalipia mteja isipokuwa sisi tutampatia crane bure.

Bei zetu ni nafuu na tupo na masharti mazuri ya malipo kama Cash na Down town payment/Installment.

Pia container zipo cleared na ni Full document , hii ni tofatuti na zile utazikuta ICD/ECD ambazo huwa hazipo cleared wala Full documents.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi ili kupata maelezo zaidi au kutembelea ofisi zetu zilizopo Kurasini Mbozi road au karibu na VETA Chan'gombe kwa kuona container zetu.

๐Ÿ“ Mawasiliano +255658124288

Usikose fursa hii ya kipekee! Kwa kuhifadhi bidhaa zako au mali zako ,kwa usalama na ufanisi mzuri.

UuzajiContainer #FT20 #FT40 #HifadhiBidhaa

๐ŸŒŸ Karibu sana ๐ŸŒŸ

40ft 20Ft zote zipo katika grade

Grade A
Grade B
Grade C
Grade D

Bei za ft20 hizi hapa

Grade A 4:7M
Grade B 4.2M
Grade C 3.9M
Grade D 3M

Na bei za ft40

Grade A :7:5M
Grade B 7M
Grade C 6.8M
Grade D 6.5M

Welcome and the Price is negotiable.
 
Sura bovu km maku iliyotiwa ikashindwa kukojoa, kalia hapa ๐Ÿ–•๐Ÿฟ

Kariakoo zinauzwa bidhaa mbalimbali na wewe km unacho cha kuuza kilete ila usituletee yutiayi..!!
Mambo my wangu wa zamani ๐Ÿ˜‚
 
Sura bovu km maku iliyotiwa ikashindwa kukojoa, kalia hapa ๐Ÿ–•๐Ÿฟ

Kariakoo zinauzwa bidhaa mbalimbali na wewe km unacho cha kuuza kilete ila usituletee yutiayi..!!
Weee weeeeeeeeeeeee, kumekucha kumekuchaaaaaaa
 
Uzi wa utundu na utamu, mnakuja kutangaza makontena badala ya Condoms.
Ila wabongo ๐Ÿคฃ
 
Nimeona comments nyingi za watu wenye stress, wanataka uhalisia kwenye social media.. Nenda riverside na uwanja wa fisi kapige chabo.

Endelea kutuburudisha Binti wa zamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ