Utaniua....!!!

Duh! wimbo umekukumbusha elfu kumi kumi ulizokuwa unamuachia nafasi penye assignment! unaona bora ungekuwa unazi lamba badala ya kufanya upendalo? but pole siku zote muziki licha ya kuwa kiburudisho pia ni ujumbe ingawa miziki ya zama hizi jumbe chache vijana wanasema huu wimbo wa kupari (ku party )
 
Sure mkuu, zile okwi nlizokua naziacha saivi najutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…