Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?
Wasichana wanapenda kudanganywa...mwambie ukweli umkose...
Ni vigumu kwa mtu muongo kuuona ukweli, kwa kuwa wao wamezoea kudanganya na ndio maana inakuwa ni vigumu kwao kuuona uongo hata ule mweupe.
Ushauri: wanasema , ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo, kama mwanamke anataka kuolewa hana sababu ya kuuliza juu ya jambo hilo, ni kuboresha tu uhusiano, na mwanaume atajipeleka mwenyewe kutoa posa.........
Wasichana wanapenda kudanganywa...mwambie ukweli umkose...
wasichana wa siku hizi hawataki hizo story kabisa,ukitaka kumkosa msichana we anza na story zako kuwa nitakuoa halafu uone, kwanza wao siku hizi hawaulizii hilo jambo labda wa kijijini, wa mjini wanakusoma kwanza na mnasomana pia. hawataki haya mambo ooh! unajua nakupenda nataka nikuoe.issue ni kwamba wengi wao wanakuwa tayari wana makovu ya mapenzi nafsini mwao hivyo kila mwanaume kwao wanamwona kama jambazi tu hivyo wanakubali muanze mapenzi ya kimjini mjini mambo ya kuoana ni majaaliwa, they believe it comes outmaticaaly the way mnavyozidi kukaa kwenye relation.
Mara nyingi suala la kumuoa msichana huwa linakuja baada ya kuwa nae na kuona anakidhi matakwa yako japo wasichana wao huwa wanataka kuwa na mtu aliemuahidi kumuoa kabla hawajaanza mahusiano...
unanidai like moja.
Halafu ishakuwa fashion kwa wanaume kutangaza ndoa. Acheni hizo.
kwani ndoa inatakiwa itangazwe muda gani? kwani kuna specific period ambayo iko stipulated any where? kama ipo hebu nifanyie citation tuifanye iwe rulling katika relationsacha uongo. Mi binafsi mtu akija na gia za ndoa ananichefua, haiwezekani watu hamjafahamiana uanze kutangaza ndoa.
umeonae now day ladies wanaamini kuwa sisi ni waongo siku zote hasa ktk mahusiano.tatizo ni kwamba ukiwaambia ukweli wanadhani ni uongo na uongo ndo huchukua kua ukweli
unataka wakuaproch kwa gia gani wewe ? kwa gia kuwa nakuchezea?huwezi napproch kwa gia ya kutaka kunioa nikakubali!!! uongo mtupu!
kwani ndoa inatakiwa itangazwe muda gani? kwani kuna specific period ambayo iko stipulated any where? kama ipo hebu nifanyie citation tuifanye iwe rulling katika relations
vpi husninyo wameshakutangazia halafu wakasepa nini?