hahahahaha BAK huwa napenda sana kudance on weekends ila ndombolo si sana mie niko kivingine ila kuna watu huwa nawaona wanshuka ndombolo hasa kwenye maharusi na sherehe ninazohudhuria, hope i've seen u sebenering.... enjoy BAK
looh nguvu ya farasi ndo weye unayewapandishaga vijana milegezo yao na kuwaambia nguo inaanguka kumbe wao wako kwenye fashion
hahahah watu8 sasa akikutana na mkaka zaidi ya futi sita, giant, ajue kakutana na C6 aka mume ya charminglady aka mkweo
sakapal naona hujawahi kuwaona Wabongo wake kwa waume wanaojua kusakata ndombolo tena kwa madaha. Utasuuzika na roho yako hutatamani wimbo uishe ile uendelee kuona maujuzi yao ya kucheza.
ukifanikiwa kuvumilia moshi wa mabomu huyo unayemuona anaongoza kwenye harakati ,ziwe maandamano ,matembezi ya hisani ,mikUtano ya hadhara nakuwa mbele kabisa usisite kunipa HI .NAPENDELEA KUVAA JEANS YA KUBANAA HADI MIGUUNI NA BUTI KUBWA NA 10.5