Utaniambia nini?

Mkuu..!
Fridge langu huwa lina uwezo wa kuhifadhi barafu 50 kwa wakati mmoja.
Sasa huwa nikiweka barafu 20 huwa zinaganda kwa masaa 5, leo nataka nigandishe 15 tu..!
Unafikiri baada ya muda gani zitakuwa zimeshaganda zote?
Muda stahiki ni masaa hayo 5 usifanye haraka kwa uchache na haraka zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom