Mayala masuka JF-Expert Member Jan 22, 2014 448 795 Feb 20, 2016 #2 subiri wenyewe wakija na mlivyowachapa leo mitusi na mipovu yatakavyowatoka teh teh teh
I ikisimama panda JF-Expert Member Apr 3, 2015 2,650 2,130 Feb 20, 2016 #3 jamaa saa izi ukiwauliza matokeo vipi majibu yao ni "mchina kawa wa pili kitaifa"
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Feb 20, 2016 #5 hadija mgawaji (simba). hawa wangetoa hata sare ilikuwa ni shida leo na siku zijazo
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 Feb 21, 2016 #8 Th Name said: Naona ametoka kupewa mambo Click to expand... Unaonekana mpole...bila shaka ww ni Mnyama mzembe
Th Name said: Naona ametoka kupewa mambo Click to expand... Unaonekana mpole...bila shaka ww ni Mnyama mzembe
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,403 35,084 Feb 21, 2016 #9 Bitoz said: Unaonekana mpole...bila shaka ww ni Mnyama mzembe Click to expand... Mimi ni Dar Young African
Bitoz said: Unaonekana mpole...bila shaka ww ni Mnyama mzembe Click to expand... Mimi ni Dar Young African
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 Feb 21, 2016 #10 Th Name said: Mimi ni Dar Young African Click to expand... Chama 1
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,403 35,084 Feb 21, 2016 #11 Bitoz said: Chama 1View attachment 324506 Click to expand... Mtaani hakuna fujo Leo kimya
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,031 Feb 21, 2016 #13 Mke anamwambia mume Jana nimekuoa .. Yani wamenuniana mwanaume kakomaa mwanamke hana adabu the he he haaaa
Mke anamwambia mume Jana nimekuoa .. Yani wamenuniana mwanaume kakomaa mwanamke hana adabu the he he haaaa