rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,855
- Thread starter
- #21
So una mtoto now?Mara ya kwanza msichana ananiambia ana mimba nilikua form three, maji hayanyweki, chakula hakipiti, kila mtu namuona adui, binti akitaka tuongee nakua mkali, maskani stori hazipandi yaani nilikua shit vibaya mnoooooo.
Darasani tunafundishwa uzazi lakini taarifa hazieleweki na sikuwahi ona applicability yake. Elimu ya Afya ya uzazi ni finyu mno kwa nchi yetu jamani khaaaaaa.