Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,951 Reaction score 1,252,178 Sep 3, 2021 #21 Ndo maana wakamlipa pugi hela za umodel(ile bil 20 inapigwa hapo) ili kuziba ziba watu wasione matangazo
Ndo maana wakamlipa pugi hela za umodel(ile bil 20 inapigwa hapo) ili kuziba ziba watu wasione matangazo
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,113 Reaction score 12,140 Sep 3, 2021 #22 Hiyo ya mikia jezi au ubao wa matangzo?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,278 Reaction score 24,079 Sep 3, 2021 #23 Wanamsimbazi tunaomba sana makorokoro yaongezwe. Simba nguvu moja.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,984 Reaction score 30,179 Sep 3, 2021 #24 Frank Wanjiru said: View attachment 1922289 Click to expand...
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,278 Reaction score 24,079 Sep 3, 2021 #25 hapo vipi!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,094 Reaction score 75,538 Sep 5, 2021 #26 Mpira wa uwanjani umewashinda mumehamia kwenye vivazi sasa,hivi Utopolo nani kakurogeni?