Utani umenikosesha mpenzi

Kama shepu yake haivutii atakuwa amekasirika na kama shape yake ni nzur au kawaida Huyo atakuwa na yake... Achana nae asikuumize kichwa.
 
:ranger:Maneno siku zote yanauma na yanachefua ukielewa maana yake....:coffee:
NENO LA KITOTO MTOTO KUMWAMBIA MTOTO, TUNASEMA WATOTO WANACHEZA...
:llama::juggle:
NENO LA KITOTO MTOTO KUMWAMBIA MKUBWA TUNASEMA MTOTO ANAKUA.......

:hand:LAKINI MANENO YA KITOTO MTU MZIMA KUMWAMBIA MTU MZIMA MWENZIE KUNA WALAKINI!!! :A S 114::nono:

ulimtania au ulimpa makavu laivu??
 
yeye alikutania kwa kusemaje?
 
ujinga huo hamnaga utani wa kumponda mwenzio
 
epuka kuongea vitu ambavyo napenda kuita "vya moyoni" vitakugharimu.haya ni mambo ambayo huwa yanakaa moyoni tu na hayatakiwi kutoka nje
 
At 23 nilikuwa bize sana na maisha kuhangaishwa na watoto wa kike aisee...! sijui lakini

Mimi nilikuwa bize natafuta mbao za kuchonga kitanda.............vijana wa sasa hivi ni majanga.........

eti shepu kama kiazi........khaaa...........
 
Mimi nilikuwa bize natafuta mbao za kuchonga kitanda.............vijana wa sasa hivi ni majanga.........

eti shepu kama kiazi........khaaa...........

Huu utandawazi kibongobongo nahisi unaturudisha nyuma zaidi ya kutupeleka mbele kimaendeleo!

IN OTHER NEWS: Nimekumiss sana pacha angu...
 
Huu utandawazi kibongobongo nahisi unaturudisha nyuma zaidi ya kutupeleka mbele kimaendeleo!

IN OTHER NEWS: Nimekumiss sana pacha angu...

My twin unapotea sana wewe.......kama hivi utakuja tena hapa siku kama ya leo mwezi ujao........sio poa ujue........
 
inaezekana we ndo kiaz, aiezekan kumropokea wa uban wako mineno ya kishenz ka ivo. tena bora aende 2
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…