Utani Mwingine Mmmh!

Kama ndio ile hospital waliomfanyia mtu operation ya kichwa badala ya miguu na mwingine miguu badala ya kichwa...namsapoti mdau maradhi yataisha yenyewe..
 
Kama ndio ile hospital waliomfanyia mtu operation ya kichwa badala ya miguu na mwingine miguu badala ya kichwa...namsapoti mdau maradhi yataisha yenyewe..

Hiyo avatar yako duu, mtaleta hata mambo ya nguoni humu jamvini sasa.
 
Kama ndio ile hospital waliomfanyia mtu operation ya kichwa badala ya miguu na mwingine miguu badala ya kichwa...namsapoti mdau maradhi yataisha yenyewe..

daktari mwenyewe CCM wakati hajui hata mishahara ya watumishi wake ataitoa wapi baada ya architecture wake wa michongo kutimka. Kashindwa operation ya RA, AC na EL imemshinda kaamua kuwa timua wagonjwa, ataiweza ya CDM?
 
kwa daktari huyo hata ungekuwa nani asingekubali
 
Mgonjwa yuko sahihi, hospitali haina umeme wa uhakika, hajafua nguo na mshahara hajapokea, ugonjwa utaisha wenyewe, nenda sasa ukachukue pesa yake pale lumumba
 
...tusaidieni kuitafsiri hii katuni wajuzi!
i think ni kuwa,viongoz wa CDM ambao ndo wenye maamuz yote na chama chao wanajua chama kinaugua ugojwa unaoonekana dhahiri na watu,ila wakiambiwa tiba ni kuondoa huo ugojwa wanakaa kimya pasipo kukubali,yawezekana kuna kitu ambacho hatukijui wao wanakipata kutoka kwao! Creative i like t!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…