First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
Waarabu pia wana mila zao za Kiarabu ambazo ni za kijinga.
Mila njema ni zile ambazo hazina mipaka ya kabila, rangi wala tabaka. Mila za Kiislam.
Hizo mila za kiislamu zinaingilianaje na ww mweusi? au ndo mambo ya utumwa wa fikra
Nadhani we FaizaFoxy umepata majibu... Hakuna mtu mweusi alie mwislamu wala mkristo wa asili... Mapokeo ya kikoloni ndo yanayowafanya watu kutojielewa...
I hope kama sio kuzaliwa kwenye uislamu wala usingekuwa na neno kutetea imani za watu.. Pole
Nadhani hii dhana ya utani inapotea sasa hivi. Usiniletee utani nikiwa kwenye majonzi. Naweza kufungwa maisha.
Hv huyu faiza foxy ndo nan ..kila sehemu yupo ananiboa
Ndg. Director J... Elimu hainaga mwisho "kila ukisoma zaidi na maendeleo yako yanazidi" Nijuavyo mie hutu dada ana Elimu ya Dini na elimu ya DuniaHv huyu faiza foxy ndo nan ..kila sehemu yupo ananiboa
Ukiona mfumo au tamaduni fulani inapotea ujue hauna maana na watu wameamua kukupotezea. Binafsi, sioni umuhimu zaidi ya kudhalishana tu.
ndg yangu wewe umesahau kitu kimoja...............utani ni sehem ya miviga ambayo kwa kiswahili hii ni aina ya utan ambao huambatana na mizaha yenye lengo la kupeleka ujumbe mahususi kwa walengwa \Ina maana msiba usingetokea;hayo maovu yatakemewaje? Je akifa mtu asiye mtani wako utaendelea kukaa na.Mimi nadhani tutafute namna sahihi ya kukemea maovu, na wala sio kukumbatia mambo ya kijinga yaliyopitwa na wakati.Kama ndo hivyo si huyo mhaya angeenda kuzikwa huko ujaluoni,ili kudumisha huo utani wao ambao hauna maana yeyote.Eti mnazingatia mila,zingine zimepitwa na wakati na wala hazina mantiki ndani yake;zaidi ya kuwa kielelezo cha jinsi alivyo mtu anayeendekeza mambo kama hayo.
Hivi huu utani msibani una mantik? Maana inafikia hatua mtu anazuia mpaka maiti! Jaman ifikie hatua tutumie akili zetu sawasawa.
Maana mtu una uchungu kisha mtu anakutania we ndo umemuua maiti.
Hivi hili jambo asili yake nini? Mwenye hoja makini naomba adadavue.
Nawasilisha
Dr Aluta, kama wewe ni dr kwa maana halisi ya phd holder ungeshanielewa ninachokisema...
Moja ya sifa ya binadamu aliyekamilika kimwili, kiakili na kiutashi ni KUJITAMBUA...
Sifa ya pili ni KUJIKUBALI...
Sifa ya tatu ni KUJITHAMINI...
Sifa hizo ndizo humfanya binadamu KUTOJIDHARAU, KUTODHARAU CHAKE na KUJIONA YEYE NA KILA KILICHO CHAKE NI CHA THAMANI KULIKO KINGINE...
Wazungu wamefanikiwa kupandikiza UTAMADUNI wao kwenye FIKRA za WAAFRIKA wengi kiasi kwamba HAWAJITHAMINI WAO BINAFSI NA TAMADUNI ZAO...
Leo, kwa MWAFRIKA kulala chumba kimoja na MBWA haikubaliki, lakini kwa kuwa MZUNGU analala na mbwa chumbani mwafrika anaiga....
Pia, inawezekana wengi wa wanaotoa comments humu ndani ni wavaaji wazuri wa kk au nusu uchi kwa kuiga utamaduni wa kizungu...
Tafakari...
Naona umekushuka na darsa limekuingia umebaki mdomo wazi.
Kwisha habari yako.
Sura 5:51. Thanks.
Hv huyu faiza foxy ndo nan ..kila sehemu yupo ananiboa
Sisi tunazungumzia haqnyie mkikutana baasi mada inabadilika hapo hapo