Ni mila za kijinga.
utani pamoja na kusaidia ktk majukumu ya msibani lakini huwafanya wafiwa kulia kwa uchungu zaidi hivyo 'kumaliza machozi' mapema jambo linaloshauriwa kisayansi kwamba usibane kilio na kulia nusu nusu au kimyakimya. Pia husaidia kukemea tabia mbovu
iongoni mwa wafiwa kwani hata uwe una hadhi gani msiba hutumika kama jukwaa huru la kukemea maovu serious kwa njia ya utani. PROUDLY AFRICAN
Purely not logical;Mtu ana majonzi kamwe hawezi kuzingatia lolote,zaidi ya kufikiria mtu waliyempoteza;Watu siku hizi wanaenda kwa mwendo wa vyama au vikundi vya kufa na kuzikana.Huo ni utamaduni uliojaa unafiki na uzandiki uliotukuka.Watu wanafikia mpaka wanabeza,ni mambo ambayo ni out dated,ya kipuuzi yanayopaswa kuachwa mara moja.Kama kweli una na machungu ya kweli kweli kwa nini usitoe msaada unaoonekana msibani,Utakuta mtu anatoa buku halafu anatoa UTANI ambao umejaa kejeli na bezo;ambazo wakati mwingine zinaweza hata kuhatarisha amani msibani,Huo ni ujinga uliobobea unapaswa kuachwa
Hiv huu utani msibani una mantik? mana inafikia hatua mtu anazuia mpaka maiti! jaman ifikie hatua tutumie akili zetu sawasawa. mana mtu una uchungu kisha mtu anakutania we ndo umemuua maiti. hiv hil jambo asili yake nin? mwenye hoja makini naomba adadavue.. nawasilisha...
yani hapo msiba mwingine lazima utokeeNadhani hii dhana ya utani inapotea sasa hivi. Usiniletee utani nikiwa kwenye majonzi. Naweza kufungwa maisha.
Hiv huu utani msibani una mantik? mana inafikia hatua mtu anazuia mpaka maiti! jaman ifikie hatua tutumie akili zetu sawasawa. mana mtu una uchungu kisha mtu anakutania we ndo umemuua maiti. hiv hil jambo asili yake nin? mwenye hoja makini naomba adadavue.. nawasilisha...
Bila shaka watakuwa wameelewa hasa wale wanaoendeleza utani msibani.Maana haiingii akilini mtu amefiwa eti ndo unapata nafasi ya kurekebisha maovu aliyo nayo.Kwa nini kama una nia njema usimwambie huyo unayemuita mtani wako katika mazingira mengine ya kawaida kama kweli una machungu naye,Unasubiri kipindi cha majonzi ndio umkejeli kwa vineno vyako vya kinafiki kwa daraja unaloliita utani?
za kiarabu ndo zenye akili?