Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,912
Nadhani huyu kakusudia asie jaribiwa.Unamaanisha mshana jr?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aiseeeNadhani huyu kakusudia asie jaribiwa.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yes Nifah. Ni Mshana Jr. Nashangaa hajapita huku. Huwa namwita King of Msata kwa sababu kwenye post yake moja alisema Msata ndipo yalipo makao makuu ya kichawi ya kanda ya pwani na yeye ana cheo huko nadhani ni Executive director kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Unamaanisha mshana jr?
Hapana mkuu. Ni utani wangu na Mshana Jr. Usinifanye nikaenda Segerea bure bwana!Nadhani huyu kakusudia asie jaribiwa.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mjanja sana.Yes Nifah. Ni Mshana Jr. Nashangaa hajapita huku. Huwa namwita King of Msata kwa sababu kwenye post yake moja alisema Msata ndipo yalipo makao makuu ya kichawi ya kanda ya pwani na yeye ana cheo huko kama siyo Executive director kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndevu na miwaniHamzioni ndevu hizo bado tu hampata picha[emoji12]
Jirani nimekumiss sana namba unazisoma[emoji12]Ndevu na miwani
Hihiiiiiiii[emoji6]
Hazisomeki jirani yangu,taabu tupu mjini hapa.Jirani nimekumiss sana namba unazisoma[emoji12]
Hahahahahahah sizonje anatuletea stress tuHazisomeki jirani yangu,taabu tupu mjini hapa.
Nataka nisepe niende kwa Bi Mkubwa nikadeke kidogo,nimechoka stress za mjini.