frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
CCM IMETOA WAPI HII YA MBILI?
Sikia hii;
"Shetani alimjaribu Yesu mara 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3, Yesu alifufuka siku ya 3, wanawake walienda kaburini siku ya 3, nao walikuwa wa3, Mungu na nafsi 3, Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho mtakatifu.
Ukitaka chakula kiive mafiga yako ma3 ,huwa tunahesabu mara 3, juzi taifa stars imefungwa 3 na Burundi, Chelsea imefungwa 3 na Athletico.
watanzania wanataka serikali 3"ukinunua co.nd.om unakuta pc 3, Ili uonekane ki.dume inabidi up.ige goli 3, samaki anavipande 3,
sasa CCM hii 2 wameitoa wapi?