loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,739
- 6,288
Mwanadada bilionea mfanyabiashara maarufu kaagiza G wagon Brabus na kuletwa na ndege Air Tanzania Cargo.
Wengine wengi wanaagizaga kwa njia ya maji meli inachukua miezi mitatu hadi sita lakini yeye kaileta na Ndege.
Gari hili jipya ni karibu billion 2.
Ameonya na kusisitiza hataki kufuatiliwa.
Hongera zake.
adriz de mbusii