Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,732
- 4,651
Maisha ni mapambano, hiyo inaweza kuwa vita ya kiroho, jitahidi kufanya maombi mara kwa mara
Utando wa buibui huhusishwa na ushirikina na wachawi. Utando wa bulbul huwapo mwingi kwenye nyumba huweza kutumiwa na wachawi kama antena zao na hutumia kuingilia nyumba ya mtu.Habari zenu
Mara kadha nimekuwa nikikumbwa na Hali ya kutokewa na utando wa buibui machoni au niseme usoni niwapo kazini au hata kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale.
Kutokewa na Hali hii kunaleta tafsiri Gani ndugu zanguni?
Mshana Jr
SawaMaisha ni mapambano, hiyo inaweza kuwa vita ya kiroho, jitahidi kufanya maombi mara kwa mara
Be blessed mkuuUtando wa buibui huhusishwa na ushirikina na wachawi. Utando wa bulbul huwapo mwingi kwenye nyumba huweza kutumiwa na wachawi kama antena zao na hutumia kuingilia nyumba ya mtu.
Hivyo kama unahisi utando usoni na machoni ni ishara kwamba kuna nguvu za kichawi zimeanza kazi ya kukufuatilia.
Kwa imani yangu; Yesu Kristo ndiye kiboko wa wachawi, omba na kemea nguvu za giza kwa Jina la Yesu kila mara utashinda.
Suala linaweza kuhusisha mishipa ya fahamu ya uso au pia formication/tafsiri isiyo halisi ya mishipa ya fahamu. Sababu ni nyingi, ni vyema kuwaona wataalamu wa afya kwa kutafuta chanzo na ushauri zaidi kulingana na maiaha kwa ujumla.



Hahahaha. Akinawa unaisha????
Kwa nini awe na utandu kirahisi...Hahahaha. Akinawa unaisha????
Wamemwambia ni wachawi wanamfatilia!Kwa nini awe na utandu kirahisi...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Wamemwambia ni wachawi wanamfatilia!
Afunikwe na damu ya Yesu! Amin
Wachawi waseee tuTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Sahihi mkuumimi mwenyewe nina uzoefu na hichi kitu
utandu wa buibui hauonekani, unaweza ukaugusa tu ukipita mahali
ndo maana utahisi kwenye sehemu zilizopo wazi(uso na mikono) tu