Utamwokoa nani kati ya hawa?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,543
Jamani leo nimeshiba futari ya jirani. Eti mfano umepanda katika mtumbwi au jahazi au boti, au meli ukitokea Southampton UK ukielekea Miami US, ndani ukiwa upo wewe rafiki yako wa damu na raisi wa nchi yako na mpenzi wako kila mtu ana nafasi yake husika mahala pake. Sasa ikiatokea kimbunga cha bahari mfano kama kimbunga cha jangwani na chombo chenu kikapinduka lakini wewe ni mtu pekee uliyekuwa na uwezo wa kuogelea na kumuokoa mtu mmoja muhimu, hivi ungemuokoa nani na toa sababu ipi kwa nini usimwokoe mwengine? mimi hapo kwenye red ndio mahala pake.
 
Yaani mpenzi unamlinganisha na rais we kweli hufai,pia kwenye maji kama huna lifejacket ukimuokoa MTU mnazama wote hata kama unajua kuogelea.Hizo futari zenu mnachanganya na marijuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…