Utamwamini vipi mtu kama Machali?


Wewe hujajua tu watu wa Chigoma wote wako hivyo hivyo ebu jaribu kuorodhesha wanasiasa walihama chama kimoja kwenda kingine Utaniamini tu. Ni wasumbufu sana. HATA kwenye mambo ya dini (makanisani) amini usiamini hawajatulia kabisa. Ni kama sample flani ya watu wa aina yake duniani. Labda wameathiriwa na kukaa mpakani mipakani maana huwezi kujua ni muha, mkongo, mhutu,mtusi na nk.

yupo bwana mmoja alihama chama fulani akahamia upinzania, akahama tena kurudi alikotoka na kupata ubunge na hata muda si mrefu akawa mwenyekiti wa chama hicho katika mkoa (hiyo ni chigoma).

Ukimuona mtu wa Chigoma mchukulie hivyo hivyo ila KUWA NAYE MAKINI IS NOT PERMANENT ALWAYS TEMPORARY!!!.
 
ng'ombe wasio na mkia wanashda sana kipnd cha mbu weng na nzi,either naijua h falsafa au la,ila kwa mfumo huu usije shangaa Mr Z nae akarud kwa Mr Juma Ponda Mali!
 
Wewe unayemchambua Machali una roho ya kirosho. Mbona hukuwahi kumshambulia Machali wakati akiwa NCCR,ACT?: Eti leo alipohamia CCM kawa haaminiki? Kawa mtafuta vyeo? Wewe ni NYUMBU.
 
Ukiona humwamini machali ujue una mtindio.
Huwezi kumwamulini lowasa akashindwa kumwamini machali,unless otherwise bangi ni chakula chako.
 
ukiona mtu anawaamini EDO na Sumaye na hamwamini Machali ujue ana dalili zote za ukaka poa au mwezi mchanga ndo mleta mada wetu huyu SirJooohooni alipoangukia.
 
Na je utamwamini polepole huyu au yule wa katiba pendekezwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…