Utamwambia nini Rais JK?

He needs to be principled and up held rules of Good Governess and avoid to use his personel intuitions to guide his dudgement in matters of national interests
 
Kaka dakika mbili zingeisha hata hujamaliza. Inatakiwa sentesi fupi yenye ujumbe mzito
 
nikikutana na jk nitafurahi sana kwani nitajua mungu kasikia kilio chetu kaamua kumleta tena duniani kuja kumpa displini ****** na serikali yake ya kifisadi.
 
Ningekutana nae kitu ambacho ningemwambia aamke afuatilie mambo mengi yeye kwa kina zaidi. Aondoe visasi na awe mwepesi wa kufuatilia mambo anapoyasikia hata kwenye vyombo vya habari, au malalamiko yanapozidi. Asiamini sana hizi kamati zinazoundwa, hizi kamati ni rushwa imezidi na kulindana. Awe ni wakwanza kupata taarifa kabla kamati haija mpelekea ripoti. Akiunda kamati aiache huru asitoe maoni hiyo kamati itoe maoni kutokana na sheria. Aaache mambo ya mzeee unajua o nilikosea, o walinishauri vibaya hayo ni baadaebaada ya kwenda likizo au kufukuzwa.

La pili aache ushabiki wa kipumbavu aitumie Jf sana katika kujua hali ya watanzania. Hapa kuna watu pande zote na wanatoa maoni na wanatumia sheria kupambanua jambo. Atumie ID hapa JF kila mtu aijue watu wakitaka kujua au kupata ufafanuzi wa kitu fulani au yeye akitaka kujua uhakika wa jambo hapa watu wanamwaga kama chemchem. Na hapo atawajua vilaza alionao huko serikalini.

Yeye najua hana majibu zaidi ya watendaji wake na wao wawehapa ili kujibu hoja nzito zinapotokea na yeye aone majibu yenyewe. Aondoe hii tabia ya siri za serikali kwa wananchi. Tunajua mambo ya siri niyakihalifu kama serikali yake niya kihalifu atuambie.
 
Dk2 ni nzuri km ningemwambia Rais, matatizo ya nchi yetu usisha pia wataalamu wasio wanasiasa, hautopunguza hadhi yako wala ya viongozi wenzako, nchi ina gape, mambo mengi ni siasa mno!
 
Sababu jamaa anapenda kuchekacheka mi nitamchekesha tu ili hizo dakika mbili ziishe, kwa sababu jamaa haambiliki yule hata utumie risasi ya moto, laiti angekuwa anashaurika kusingekuwa na haja hata ya mimi kupewa hizo dakika mbili kwa sababu kitu ninachotaka kumwambia tayari kimesemwa sana na nadhani ameshasikia kama si kuambiwa
 
Dk2 ni nzuri km ningemwambia Rais, matatizo ya nchi yetu usisha pia wataalamu wasio wanasiasa, hautopunguza hadhi yako wala ya viongozi wenzako, nchi ina gape, mambo mengi ni siasa mno!
 
Political deadlock ipo very near na itakula kwake! Apunguz masihala na Afanye maamuzi sasa! AKILI ZA KUAMBIWA ACHANGANYE NA ZAKE teh!
 
Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
Ningemuuliza mambo mawili...........

1. Katika ahadi zako zote zaidi ya tisini ulizotoa wakati wa kapeni ngapi umeshazitimiza...??? Maana mwaka unakaribia kwisha toka uchaguliwe na ahadi zilizokamilika inabidi ziwe zimeshafika 15


2. Hivi unafahamu ahadi ulizotoa wakati wa uchaqguzi zina gharama kiasi gani...??

3. Hivi Kati ya wewe, Luhanjo na wziri mkuu nani mwenye uwezo wa kumsimamisha kazi Jairo wa SHIRIKA LA GIZA.... na MADINI
 
nitamwambia anatutia watanzania aibu!!! Ajiuzulu haraka sana, tena asahau kama alishakuwa raisi.
Kwani serikali yake imegeuka kuwa ze comedy, shit im so mad at this govt.
 
Ningemuomba aiite tena tume ya uchaguzi na kuilazimisha imtangaze mshindi wa kweli wa urais 2010.
Baada ya hapo ningemuongoza sala ya toba.
 

Unamaanisha kama huyu hapa mkuu? maana ndo jamii yenyewe.

 
Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
<br />
<br />
nitamwambia aache kuwaza kwa kutumia makab... Sorry, masaburi yake
 
Kikwete, tonge ulilokata toka elf2 na tano umeshindwa kulimeza hadi sasa.
Achia wanaume wanaojua kupiga matonge, ondoka taratibu ukisingizia ule ugonjwa wako wa ***** unaukofanya uanguke kila mara.
 
Mwizi ambaye haoni aibu! Hajui kwa nini aliiba kura za u-rais Ajiuzulu kabla hayajampata yanayomkumba Gadafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…