Utamuelewaje john ?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
Joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chapu chap kuchukua nguo za kulala''
 
si lipo jukwaa la mambo ya jokes lakini hii ingefit zaidi huko nadhani mkuu
 
Hii amecopy jukwaa la fb la ndugu zangu wakenya! Ipo mda sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…