Utamu

ngome

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
235
Reaction score
98
Habari wana jf naomba munijuze kwamakuni hili neno utamu lina maana gani na wap mahala sahihi kutumika, maana mtu akila asali husema tamu, akila ndimu husema tamu akifanya mapenz husema matamu, pia akila vtu vya chumvi husema tamu, sasa neno utamu lina maana gani? na wap mahala sahii litumike?
 
Neno utamu lina maana hiyo hiyo ya utamu, na linatumika sehemu hizo hizo ulizo zitaja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…