Utamu!!

Utamu!!

Kweli ulevi raha!!


image002.jpg

Hii kweli kali ya mwaka..
 
Mbona kwenye hali kama hii "viburudisho" havionekani?
 
ni wagonjwa inabidi wachekiwe akili zao haingii akilini kuendelea kukaa sehemu kama hiyo na jinsi ninavyo ifahamu bongo hayo maji lazima wenye vyoo vilivyojaa lazima watakuwa walifungulia mavi siku hiyo
 
WANAONA UTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAU...........:biggrin1:.
 
Kweli hawa jamaa noma na pombe zao hawana habari na maji machafu
 
Back
Top Bottom