hakuna raha kubwa km pale unapojua unapendwa, upendo n kitu ambacho kimebeba sehemu kubwa ktk maisha yetu .
Upendo ulio wa dhati ni lazima utagharimu kwa yule anayependa, utagharimu vingi kama muda, pesa na zaidi pia kuna wakati upendo hugharimu maisha. yatupasa sote tupendane na kuhurumiana, ili maana halisi ya upendo ionekane na kuwepo katikati yetu, tuwazian mema na ya kweli kutoka mioyoni ili tuishi kwa furaha na amani
umenenaKuna watu wengine wakijua wanapendwa wanaanza kuleta pozi na dharau wanasahau kuna kipindi mtu unachoka na unaamua kuquit
Kuna watu wengine wakijua wanapendwa wanaanza kuleta pozi na dharau wanasahau kuna kipindi mtu unachoka na unaamua kuquit
Basi gharama isipite kiasi Lara 1.Wasichana wengine bwana!! Wakijua weni mtoaji hodari Looo!! Utachekea chooni...Maneno kuntuuuuuu!! Haswaaa kwenye gharama!
Basi gharama isipite kiasi Lara 1.Wasichana wengine bwana!! Wakijua weni mtoaji hodari Looo!! Utachekea chooni...
Maneno kuntuuuuuu!! Haswaaa kwenye gharama!
Hapo ulikuwa unajaribu kutunga wimbo, ngonjera au mashairi?
dats love!.but unaweza fanya yote hayo na bado thamani yako ya upendo isionekane!!
na wasiwasi mtoa mada kapata penz jipya sijui ndo kapenda au kapendwa au wamependana