utamu wa samaki

Picha nzuri sana hii. Lakini naiona shida moja, hiyo fensi ya nyasi na haya majiko ya kuni na hawa wapishi wenyewe! Sijui kama upande wa nyuma kuna gari la Faya.
 
jamani hako katoto ka kike kazuri sana mweeh!!
 
Hakana utapia mlo. Ndio uzuri wa maisha ya vijijini utapia mlo ni nadra sana kulinganisha na mijini. Hiki ni kielelezo kuwa chakula kama samaki huyu kinaliwa pia na watoto nyumbani tofauti na mijini ambako kinaliwa kwenye mabaa au migahawa tu.
 
Ukizingatia leo mchana nimepiga DASH aka mchana sijauona; hii picha imenitoa udenda kwa kumtamani huyu samaki!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…