Utamu wa nyama MFUPA



Siku zote najiuliza, hivi kwanini wanawake wa kibongo wanakula sana bila hata kujali vitambi zembe? Utakuta mwanamke anakula chapati 6 na supu ya kichwa cha ng'ombe kisha anashushia na soda mbili na chai juu. Hapo chai tu bado kula mchana na usiku. Yaani mwanamke anakula utafikiri hatoiona kesho, hapo hapo anakuambia yuko kwenye diet why jamani?
 
Halafu inaonyesha wanawake wanakula sana kuliko wanaume,mwingine huyu[emoji116]

Wanawake kama hawa ni hasara tu. Chakula cha kula watu 3 anakula mtu mmoja, baada ya mwezi mtumbo huo na hajazaa bado, akizaa je? Cheki bibi yake anavyomshangaa na kumuonea huruma.
 
Kwa kumuangalia tu huyo ni mwanamke wa wapi
Afrika kubwa hii, utamaduni wa ulaji "kabila"hiyo, Tz haupo.
Na wanawake wanaovaa kwa kujiachia yaani kwao kitu kiitwacho khanga ama kitenge ni msamiati, ni mataifa ya kusini mwa Afrika ikiwemo Zimbambwe, Namibia na SA kwenyewe.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…