Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

Aibu ya kujitakia, kuna wanaume huwa wanona sifa kutembea na wake za watu tena hukaa na kujisifia siiku yakiwakuta kama ya huyo jamaa ndio watakoma.
 
Kuna ule mziki wanaiba 'mke wa mtu nisumu usijaribu chombeza'....... sasa jamaa kajaribu kuchombeza yamemkuta yaliomkuta hapo hata pole simpi ng'oo!!!
 
Kuna ule mziki wanaiba 'mke wa mtu nisumu usijaribu chombeza'....... sasa jamaa kajaribu kuchombeza yamemkuta yaliomkuta hapo hata pole simpi ng'oo!!!

Lakini pia wapo wanaodai mke wa mtu mtamuuuuuuu tena hana gharama wala usumbufu
 
Unaweza kuhama mji aisee. Mwenye mke hakuwa mangi lasivyo jamaa angekuwa marehemu sasa.
 
lakini kuna cha kujiuliza upande wa pili wa shillingi!!mfano akijiuliza tu "hivi mke wangu alirazimishwa?"-muda mwingine ni viherehere vyao na udhaifu wa mume wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…