Baraka Roman JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 692 Reaction score 262 Jun 7, 2013 #21 Kuna watu walisoma na kufaulu somo la unafiki unakutana na mtu anavyokupenda,anavyokujal masikin kumbe ananyie watano ila wote haki sawa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kuna watu walisoma na kufaulu somo la unafiki unakutana na mtu anavyokupenda,anavyokujal masikin kumbe ananyie watano ila wote haki sawa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
M MAKRESH MMAKA Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 155 Reaction score 19 Jun 7, 2013 Thread starter #22 baraka roman said: kuna watu walisoma na kufaulu somo la unafiki unakutana na mtu anavyokupenda,anavyokujal masikin kumbe ananyie watano ila wote haki sawa sent from my blackberry 9780 using jamiiforums Click to expand... wakwanza anamchuna wapili anazitafuna watatu ndo anamkuna
baraka roman said: kuna watu walisoma na kufaulu somo la unafiki unakutana na mtu anavyokupenda,anavyokujal masikin kumbe ananyie watano ila wote haki sawa sent from my blackberry 9780 using jamiiforums Click to expand... wakwanza anamchuna wapili anazitafuna watatu ndo anamkuna
CHAMVIGA JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 7,687 Reaction score 2,240 Jun 7, 2013 #23 Haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba.
Haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba.
M MAKRESH MMAKA Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 155 Reaction score 19 Jun 7, 2013 Thread starter #24 chamviga said: haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba. Click to expand... du kweli kuna waliofiana kwenye malovely
chamviga said: haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba. Click to expand... du kweli kuna waliofiana kwenye malovely
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Jun 7, 2013 #25 Mapenzi kama hayo yanapatikana kwenye Movie tu"!
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Jun 7, 2013 #26 CHAMVIGA said: Haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba. Click to expand... Hakuna. Wote ni wale wale, bora liende!!"
CHAMVIGA said: Haya mapenzi yamebakia kwenye movie tu ila uhalisia they don't exist in the reak world. Samahanini kwa wale mliofiana katika mahaba. Click to expand... Hakuna. Wote ni wale wale, bora liende!!"