Utamu wa Facebook.

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
59,646
Reaction score
172,163
Wewe kama ni mpiga pesa ya pombe kupitia mitandao ya kijamii, utamu wa hela upo Facebook.

Acha ushamba wa kuikataa fb , ukajifanya upo jf na na huko x 🤔


Wewe nnje namambo yako ya msingi kama unataka pesa tamu ,tengeneza maudhui yako yaweke Facebook ,tafuta marafiki na wafuasi wako humo .

Kule kuna pesa hazina kazi na zinamwagwa kwako wewe mtengeneza maudhui mitandaoni, mwenye akili kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…