Sehemu ya Kwanza
EEE bwana sawa mimi nimekuelewa, lakini Juma inabidi hii issue iende fasta fasta si unajua washikaji kibao wanavyohaha kuhusu yule mtoto?" alisema John akimwambia rafiki yake Juma ambaye ni maarufu kwa kazi ukuwadi. "Usikonde rafiki yangu nitajitahidi kadri ya uwezo wangu ila lazima upande dau au unasemaje kuhusu hilo," alijibu John. "Ondoa hofu mwanangu jioni kuanzia saa moja njoo nyumbani uniambie umefika wapi tutamaliza mambo yote," "Poa John nakuamini hamna noma."Linda binti mmoja mrembo aliyemaliza elimu yake ya sekondari nchini Kenya, hivyo ameamua kuja kusubiri matokeo yake kwa baba yake mzazi anayeishi Kinondoni jijini Dar.