Utamu wa Chakula mpikaji bhanaaa!

Mhhhh!!hata akizidisha chumvi na kikawa kibichi kisa kapika mtu mzuri kitakuwa bado kitamu?
 
Nakula mpaka nazimia
mpishi mtamu chakula kitamu,anatoa vitamu visivyo haramu,kote mtamu wala siishiwi hamu...
 
Nina wasiwasi ukifika hapo hutaanza na chakula .. 😉 😉
 
Huyo mpishi ataliwa taaratibu na pilipili nikimaliza naendelea na msosi
 
Akimaliza kupika ayakua kachoka... Akae pembeni "apakuliwe" !...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…