Utamu na Faida za Tende kwenye mwili wa binadamu

we ni mganga wa kienyeji, au mchawi, kama si hivyo utakuwa jini. usilete uganga wako wa kienyeji hapa. tuloweke tende kwenye maziwa ya mbuzi, kwani maziwa ni ya mbuzi tu...ya kondoo, ya ng'ombe, ya ngamia je? yana tofauti gani?
WACHA KUONGEA BILA KUFIKIRIA. MBONA UNAROPOKWAROPOKWA TU!! UNA NINI WEWE??? HAUKO SAWA SIO? WATU WANAONGELEA MAMBO YA MAANA WEWE UNALETA UJINGAJINGA TUU. HEBU FUATILIA WATU WA MASHARIKI YA KATI AMBAO TENDE KWAO NI ASILI WANATOSHIKAMANA NAO ZAMA ZOTE TANGU KALE MPAKA LEO HII TUNAPOONGEA. KISHA NDIO USEME.

DOMO CHAFU KAZI KUTUKANA WATU TUU!!! UNAWAITA WATU WACHAWI, MAJINI, !!! KOSA LAKE HUYO BWANA MZIZI MKAVU NI NINI?? KULETA TU HAPA MADA YA TENDE?

nutritious ziliopo ktk maziwa ya mbuzi na za ktk maziwa ya ng'ombe zinafanana kwa 100%???

Mjumuiko wa vitamins uliopo ktk asali ni wewe tu peke yako ndio hauujui??

Wacheni kushika imani potovu, mnaonekana vituko mbele za wenye ustaarabu, lakini hamjijui kabisa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom