sitoishi miaka minne kama mke na mume bila ndoa ..Assume tumeishi mimi na wewe miaka minne sijatoa mahari kwenu wala wewe huwajui ndugu zangu wote,hatugombani wala hakuna mgogoro wa kutisha ukiachilia mbali ile ya kibinadamu tu
What would you do?
Najaribu kutafakari hii topic maana inanihusu kwelkweli. Myself niko kwenye uhusiano na mdada 1 amabye bd yuko college, Moyoni mwangu napata amani sna hata ninapoomba Mungu kuhusu mke nasikia ohoni kuwa huyo uliyenae ndo wangu . Hatujafanya mapenz zaid ya kushikana na mengneyo . Kuna wazo huwa linakuja kuwa nikae nae mpak nifunge ndoa ndipo nimjue hy mwenz wangu kimwili. Lakini nkiangalia dunia hii huy mwanamke ataniona mtu wa namna gani nkimwambia hivyo bdo niko kwnye hatihat kwelkwel nampenda huy dada maana Ushuhuda wa Rohoni ndiye mke mtarajiwa hebu nisaidien au nifungue thread ya Yangu Yenye Title: Niko NJIA PANDA
ni generalisation lakini haiapply kwangu!Si umesema hapo juu sio tatizo?
Najaribu kutafakari hii topic maana inanihusu kwelkweli. Myself niko kwenye uhusiano na mdada 1 amabye bd yuko college, Moyoni mwangu napata amani sna hata ninapoomba Mungu kuhusu mke nasikia ohoni kuwa huyo uliyenae ndo wangu . Hatujafanya mapenz zaid ya kushikana na mengneyo . Kuna wazo huwa linakuja kuwa nikae nae mpak nifunge ndoa ndipo nimjue hy mwenz wangu kimwili. Lakini nkiangalia dunia hii huy mwanamke ataniona mtu wa namna gani nkimwambia hivyo bdo niko kwnye hatihat kwelkwel nampenda huy dada maana Ushuhuda wa Rohoni ndiye mke mtarajiwa hebu nisaidien au nifungue thread ya Yangu Yenye Title: Niko NJIA PANDA
Hiyo sio kweli...hizo ni tabia tu za kiafrika tena za kinafiki....mbona wazungu wanaba-njuana daily....bila hayo mambo ya ndoa wala nini...! Sasa kama una tabia chafu si bora zifahamike mapema na ili jamaa akumwage..kuliko kuolewa halafu kesho unapata talaka!Kuishi na mtu b4 ndoa ni kisababishi kabisa ya ndoa kuisikia kwa jirani.Mnapokuwa karibu ni rahisi kusomana sana sasa hapo ndo inapokuwa tatizo....maana kuna tabia ambazo hazina dawa.
Kumbuka serekalini ukiishi na mtu kwa muda wa miezi 6 kwenye chumba kimoja na mkawa na uhusiano, tayari ni mkeo
Haya nitakujulisha mkuu!
Mimi nipo katikati,kitendo cha mwanamke na mwanaume kuishi kama mke na mume kinawapa nafasi za kujisoma mapungufu yao na kumchunguza mwenza wako kwa umakini zaidi kama ni mtu sahihi wa kufunga ndoa nae na ndio maana ni kawaida sana kwa wazungu kuishi pamoja kabla hawajafunga ndoa kama wapenzi tu na kwa upande mwengine wa shillingi nakubaliana na huyo rafiki yako kwamba inajenga mazoea kwahio inapunguza ule mshawasha wa kutaka kufunga ndoa haraka iwezekanavyo ili muwe pamoja muda wote kwasababu ukifikiria tayari mpo pamoja na kila mtu anatimiza wajibu wake so kuna umuhimu gani wa kugharimika kwaajili ya ndoa?Na hili linapelekea wengi kuishi pamoja kama mke na mume kwa muda mrefu na kusahau kabisa suala la ndoa....
Najaribu kutafuta mahusiano ya nilichokisema na alichokisema niliyem quote na ulichokuja kukisema wewe nakosa kabisa!