Mm niliishi na wife kwa miaka 3 b4 sijamuoa bt tumeona na mtt wetu ana miaka 4 na nusu nw...
Sio kweli kama mkikaa pa1 hamtaoana wapo watu hawakai pa1 lkn ndoa hazitokei,wakat mtakapokuwa tayari kuoana ndoa itafungwa muwe mnakaa pa1 au la.
Mimi nipo katikati,kitendo cha mwanamke na mwanaume kuishi kama mke na mume kinawapa nafasi za kujisoma mapungufu yao na kumchunguza mwenza wako kwa umakini zaidi kama ni mtu sahihi wa kufunga ndoa nae na ndio maana ni kawaida sana kwa wazungu kuishi pamoja kabla hawajafunga ndoa kama wapenzi tu na kwa upande mwengine wa shillingi nakubaliana na huyo rafiki yako kwamba inajenga mazoea kwahio inapunguza ule mshawasha wa kutaka kufunga ndoa haraka iwezekanavyo ili muwe pamoja muda wote kwasababu ukifikiria tayari mpo pamoja na kila mtu anatimiza wajibu wake so kuna umuhimu gani wa kugharimika kwaajili ya ndoa?Na hili linapelekea wengi kuishi pamoja kama mke na mume kwa muda mrefu na kusahau kabisa suala la ndoa....
Kwahiyo kwenu kitendo cha kuishi pamoja hakikuwa kikwazo kwenu,au sio?
Swali ni kwa nini mtu anaamua kuoa au kuolewa. Kama anaolewa sababu ya hamu ya kuwa na mtu(kimwili zaidi), hata wakiwa wameshafunga ndoa wataachana.
Kuishi pamoja inatakiwa kuwa zaidi ya mahitaji ya kimwili. Mie naona hakusababishi, ila kunawasaidia watu kutooana for a wrong reason.
Kwahiyo ni sawa kuishi pamoja kabla ya ndoa au sio?
hilo pía nakubaliana nalo lakini inategemea vilevile na wahusika wenyewe wanalipa umuhimu gani suala la ndoa na kama ni watu wanaoipa kipaumbele dini ama la hasha….Kuna rafiki yangu mmoja alishasema ndoa ni kile kitendo kwamba jamii inawakubali wahusika kama ni mke na mume,na nilipomuuliza kwa ukaribu zaidi akasema kitendo cha watu kuishi kwa muda mrefu kinawafanya mnakubalika kama wanadoa,kama ni ndoa ya bomani,kanisani,msikitini au hata mkiishi pamoja muda mrefu….kwahio tukirudi nilipoanzia inategemea na wahusika...Ninavyodhani mimi ni kuwa unapoonja asali na kuiona kuwa ni tamu basi utatamani uimiliki kabisa!
hilo pía nakubaliana nalo lakini inategemea vilevile na wahusika wenyewe wanalipa umuhimu gani suala la ndoa na kama ni watu wanaoipa kipaumbele dini ama la hasha….Kuna rafiki yangu mmoja alishasema ndoa ni kile kitendo kwamba jamii inawakubali wahusika kama ni mke na mume,na nilipomuuliza kwa ukaribu zaidi akasema kitendo cha watu kuishi kwa muda mrefu kinawafanya mnakubalika kama wanadoa,kama ni ndoa ya bomani,kanisani,msikitini au hata mkiishi pamoja muda mrefu….kwahio tukirudi nilipoanzia inategemea na wahusika...