Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
Ukiwa popote pale duniani, unaweza kumtambua mwanamke anayetoka jijini Dar es salaam kwa kumtazama tu...Utajuaje?
TUMBO : ASILIMIA 95% WANAWAKE WANAO ISHI JIJINI DAR ES SALAAM WANA MATUMBO MAKUBWA a.k.a VITAMBI... Si ajabu, comedian Mpoki wa Orijino Komedi katika moja kati ya comedy zake anasikika akimwambia mtu : " Ndo maana una tumbo kubwa kama wanawake wa Dar es salaam " ).
Badilikeni jamani, acheni hiyo michemsho na bia,...fanyeni mazoezi.
Mmh labda mkeo