Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Utanigombanisha na ndugu yangu wewe..Nitetee tu shem! Nasikia mtaniweka mtu kati!
Utanigombanisha na ndugu yangu wewe..Nitetee tu shem! Nasikia mtaniweka mtu kati!
Wewe si ndio huwa mtetezi wake eeh!! Ntawapeleka kule msituni mlikokuwa mnapanga kwenda.







Eeh anajipigilia heineken anajifanya za local hanywagi!![]()




Local zinajaza tumbo.Eti haya ma local sina imani nayo huenda yana kipindu pindu haya😅Local zinajaza tumbo.
CV yangu saaafi kabisa, haina makando kando.Naendelea kupitia CV yako kwa ukaribu![]()
Mie hela yangu ya safari mnipe, nina matumizi nayo then muende wenyewe.
Kasema December anatupeleka wote![]()
Mie hela yangu ya safari mnipe, nina matumizi nayo then muende wenyewe.






Huendi Magoroto?Vipi tena![]()
Siendi.Huendi Magoroto?
Wengine wanaigiza ili ufuate taratibu zote umuweke ndani kisha yajayo.........
Tahadhari na umakini ni muhimu sana

bhana wee wengn yashatukuta hayaAahh unaletaje utani kwa mambo kama Haya ona sasa nishakunywa, ungeniambia mapema kuwa ulikuwa unanitania daah.Mweeh! Hutaniwi![]()
Aahh sasa mnasubiri nini Kuwawowa haoYupo bana aisee tena usukuman wapo wengi sana



Kwa KweliLocal zinajaza tumbo.