Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe.Hizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu![]()



Weeeh mie material wife acha kabisa, hadi najionea wivuHizo tabia hapo labda tukamchonge espy wa maboksi, ninayemuona hawezi kuwa hivyo, hata nusu![]()



Unawajua Slay Queens ?Kwani vina shida gani hvyo viatu?
Acha unaa basi!Awe na bikra au Bikra sio muhimu ?
Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe?Acha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe.![]()
![]()


Leo nakuruhusu kasafari kamoja dotaAcha kumsingizia mama yangu anazo zote hizo na zaidi. Wewe ndiyo kiwembe.![]()
![]()



Sio kweli...NAKUJUA!Weeeh mie material wife acha kabisa, hadi najionea wivu![]()
Daktari amesema mtoto asigombezwe.Kwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe?![]()
Nimegusa maslahi yako ?Acha unaa basi!
Baba bora tu uwe mpole nisije nikamtaja na yule 'shangazi' aliyeninunulia baiskeli juzi hadi ukaniambia nisimwambie mamaKwa hiyo mimi babako umeamua kunikosea heshima, ni kiwembe?![]()


Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalaleLeo nakuruhusu kasafari kamoja dota![]()
Nikuimbie Bia Tamu ?Ndiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale
Baba bora tu uwe mpole nisije nikamtaja na yule 'shangazi' aliyeninunulia baiskeli juzi hadi ukaniambia nisimwambie mama![]()




Mweeh! HutaniwiNdiyo niko namalizia bilauri ya mwisho ya Kimario hapa nikalale


Uishie hapo hapo!
Umenikumbusha ile ya yanga