wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa uwepo wa mkeo mmekuwa mkijumuika pamoja.
Huyo dada nae kwa upande wake amekuwa huru sana kwako kiasi kwamba hata yale masuala yake nyeti zaidi amekuwa akikushirikisha ingawa mwanzo ulishtuka ila badae ulizoea hiyo hali na mkeo hukumwambia uwazi huo!
Inapokaribia likizo ya mkeo huyo dada ktk mazungumzo yenu anakuambia
dah umejichanganya bila shaka
Kama ana UTI na wewe una uhakika hujacheat basi jua unaibiwa... na ndio maana anakua mkali, kajishtukia tayari
Uliitoa wapi sasa? kama huja lala na dada jirani, umelala na mke wako tu alafu ukapata UTI, maana yake umeitoa kwake mke wako, na yeye kaitoa huko anakogawa bila hata condom.mwenye U.T.I ni wewe na sie yeye.
ipo ktk context hiyo
singo and not searching!......mmmmh u.t.i si lazima itokee kwa kutembea na jirani,umesema huyo mkeo anakuwa chuo,kwani huko chuo anaenda na choo chake?si wana share?so source ya u.t.i ni huko chuo,lkn pia hata choo cha watu wawili tu (mume na mke) kama si kisafi u.t.i haikosekani,kiukweli unasababisha mkeo asikuamini kutokana na hayo mazingira uloelezea lkn kuepusha malumbano acha mazoea ya ndani na huyo jirani,inawezekana nia yake ni njema na yako pia lkn badae usijesema shetani alinipitia kati ya sentensi nisiyopenda ni hii,kwann shetani akupitie?na ww si umpitie?anyweiz simba akikosa nyama?kuwa makini
singo and not searching!......
wameanza!haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa