- Thread starter
- #21
Hao waoji haeajaambiwa mtoto huyo kalelewa ujombani?????
Wameambiwa ila na wao wanajaribu kufuata desturi yao kwamba kwamba wanatakiwa wajitambulishe upande wa baba wa binti,
Hao waoji haeajaambiwa mtoto huyo kalelewa ujombani?????
Hao wa upande wa kijana anayetaka kuoa naona kifurushi cha busara kimeisha. Unopoenda kuoa huwa tunafuata masharti/mila ya kwao binti. Kama ni kuwapelekea "mbege" unapeleka na si kulazimisha "lubisi" kisa ww mhaya. Au kama wao mahari ni pesa unapeleka hulazimishi ng'ombe kisa ww ni mmasai.Sawa nmekuelewa ila tatzo ni kwamba upande wa kijana wanasema mila na desturi zao hawawez kujitambulisha kwa wajomba lazima waende upande wa baba wa binti huyo kwanza wao ndio wawape ruhusa ya kwenda kujitambulisha kwa wajomba, na upande wa pili bibi hataki upande wa baba wahusishwe, itakuaje hapo sasa,??