GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
Amaekupigia simu kuomba miadi na wewe. Anataka muonane ili akusimulie mikasa yote ya biashara yake ili kwa jicho la uzoefu wako, umshauri cha kufanya. Kumbuka anafanya biashara kama yako na wewe umefanikiwa sana kwenye hiyo biashara. Utakubali kukutana naye japo hamfahamiani?Makini hayupo makini na kazi yake, ushauri wowote ni uso kwa uso.
Watu waliofanikiwa wanajulikana na wengi sana, kwahy kutokumjua ni kitu cha kawaidaAmaekupigia simu kuomba miadi na wewe. Anataka muonane ili akusimulie mikasa yote ya biashara yake ili kwa jicho la uzoefu wako, umshauri cha kufanya. Kumbuka anafanya biashara kama yako na wewe umefanikiwa sana kwenye hiyo biashara. Utakubali kukutana naye japo hamfahamiani?
Kabisaa!! Kwanza abadilishe jina hilo la makiniMakini hayupo makini na kazi yake, ushauri wowote ni uso kwa uso.
Ajiite naniKabisaa!! Kwanza abadilishe jina hilo la makini
Utamkubalia ombi lake au utamkatalia?Watu waliofanikiwa wanajulikana na wengi sana, kwahy kutokumjua ni kitu cha kawaida
Aje makini ofisini!Chukulia wewe ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwenye biashara yako na hivyo unafahamika kwa watu wengi. Siku moja unapigiwa simu na namba ngeni, na baada ya kuipokea, aliyepiga anajitambulisha kuwa anaitwa Makini.
Baada ya utambulisho, Makini anaanza kujieleza kilichomfanya akupigie. Anakuambia kuwa miezi kadhaa iliyopita aliianzisha biashara kama yako, lakini tokea aianzishe, amekuwa akiambulia hasara tupu. Kwa kuwa anaamini kuwa hasara anayoipata inatokana na makosa anayoyafanya, anakuomba akutafute ili umshauri kwa lengo la kurekebisha makosa.
Makini anakueleza na eneo biashara yake ilipo, na anakupa uhuru uamue kama akufuate ofisini kwako au eneo utakakomwelekeza au asubiri mpaka siku utakayopata nafasi ya kumfuata ofisini kwake.
Utakubali kuwa mshauri wake?
Kumbuka:
1. Hamjawahi kuonana na Makini!
2. Hamfahamiani na Makini, na hata namba zako za simu kapewa na wafanyakazi wako.
Nini utakuwa mwitikio wako?
NitakubaliUtamkubalia ombi lake au utamkatalia?
MbagaAjiite nani
Hakuna tangazo lolote mkuu! Ni ushauri tu ndiyo unaohitajika.Lipia tangazo
Namwacha aje, ntamsikiliza anieleze namna alivyoanza na anavyofanya. Nitaona cha kumshauri.Chukulia wewe ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwenye biashara yako na hivyo unafahamika kwa watu wengi. Siku moja unapigiwa simu na namba ngeni, na baada ya kuipokea, aliyepiga anajitambulisha kuwa anaitwa Makini.
Baada ya utambulisho, Makini anaanza kujieleza kilichomfanya akupigie. Anakuambia kuwa miezi kadhaa iliyopita aliianzisha biashara kama yako, lakini tokea aianzishe, amekuwa akiambulia hasara tupu. Kwa kuwa anaamini kuwa hasara anayoipata inatokana na makosa anayoyafanya, anakuomba akutafute ili umshauri kwa lengo la kurekebisha makosa.
Makini anakueleza na eneo biashara yake ilipo, na anakupa uhuru uamue kama akufuate ofisini kwako au eneo utakakomwelekeza au asubiri mpaka siku utakayopata nafasi ya kumfuata ofisini kwake.
Utakubali kuwa mshauri wake?
Kumbuka:
1. Hamjawahi kuonana na Makini!
2. Hamfahamiani na Makini, na hata namba zako za simu kapewa na wafanyakazi wako.
Nini utakuwa mwitikio wako?
Dah nimelia sana 😭Mbaga
Hilo ni jina la kutungwa tu, lakini tukio ni la kweli. Limetokea hivi karibuni.Kabisaa!! Kwanza abadilishe jina hilo la makini