Mwezi uliopita nimejikuta nikalipa fine nyingi sana za gari.
Mara ya kwanza nilisimamishwa na kukutwa nina deni la parking. Nikasema sawa, labda ni uzembe wangu.
Wiki iliyofuata nikasimamishwa tena. Kwa Kosa la kuto kulipia fine ya wiki iliyopita.
Wiki iliyofuata tena nikasimamishwa mda huu...
Chukulia wewe ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwenye biashara yako na hivyo unafahamika kwa watu wengi. Siku moja unapigiwa simu na namba ngeni, na baada ya kuipokea, aliyepiga anajitambulisha kuwa anaitwa Makini.
Baada ya utambulisho, Makini anaanza kujieleza kilichomfanya akupigie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.