Utamsaidi vipi nduguyo ambaye anapata mateso?

Aaahhhh simple sana , uyo bwana sio hali yakawaida wala usidhani nibwege...ILA amefanyishwa kua bwege na limbwata !!.

Hiyo bwana Msaada unaomfaa daaaahhh sijui kwakweli.

Wenda tupige magoti tusali...
Au sisi ndugu tumdeal nahuyo mwanamke directly !.

Si niliwahi waletea Uzi humu ukisema "Shemeji anamtesa mama"... Huyu nimama mkubwa Wangu ,, licha ya mwanaye kua na mipesa ,uyo bro nikm mwanamke alimchezea akili ,, Nyumba +magar + Mali n.k uyu mwanamama akataka kujimilikisha kizembe...

Shubhaaaaatu....Tukamkalia vikaoooo ,,jibu tukapata kua " Hapa kaingia choo chakike,, aende hukooooooo kwa koo nyingine ".

Kufupisha story ,, Tunashukuru Mbingu na Nchi , nimiezi karibu miwili na nusu ,, Demu toka afunge vilago na kwenda kwao ,naaliondoka yeye na Begi lake bila kusukumwa wala kufukuzwa [emoji23][emoji23][emoji109]

Tulipata suluhisho ,, yakwamba kwavyovyote vile Demu lazima Aamshe ,,, Bro kufikia Wa tano Anaoa mwanamke Alotafutiwa na Familia !![emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuuu changamken ," dawa ya moto nimoto ".
nipe huyo mganga niende aisee nikamkomboe mtu
 
Atakuwa alilishwa nyama ambayo imekaa kwenye "K" ndani ya wiki, Maana Ukilishwa ile walahi hata mke wako akisema kalale chooni unalala bila kipingamizi chechote.
 
Mleta mada ungeiweka kwa jinsia zote me na ke ingependeza zaidi!!!
 
Utachukua hatua gani sasa nduguyo akifanyiwa hivyo?
 
Mleta mada ungeiweka kwa jinsia zote me na ke ingependeza zaidi!!!
Mada imelenga jinsia moja,lakini ruksa kutoa ushauri kwa kuzingatia jinsia zote,endelea
 
Una ndugu yako kaka/mdogo wako ambaye, hana sauti kwa mkewe, wakikorofishana ni kichapo matusi kwa kwenda mbele,siku mke akizidiwa nguvu anategea jamaa amelala fofofo anaanza kumshushia kipondo, ndugu wa karibu na marafiki wanajaribu kumshauri jamaa aachane na huyo mwanamke inashindikana kabisa, jamaa anakubali tu lakini hawezi kufanya maamuzi yoyote, jamaa anaanza kukosa raha mwili unapungua kwa Mawazo, na mwanamke katia ngumu hachomoki,ukiwa na ndugu yako wa namna hii utamsaidia vipi?
APAMBANE NA HALI YAKE...SI KAOA YEYE
 
Hivi mkuu kuna Mungu kati ya hao wanandoa?
Nasema Mungu kwa sababu nahisi hamna neema ya Mungu hapo...
Kamwe Mungu hawezi ruhusu hilo... wahamasishe waokoke wamtambue Mungu na ufalme wake.
Tunapaswa kusimama strong kiimani kwanza kabla ya kuchukua step yeyote ile kwenye mahusiano, wengi hudharau hili na kuleta ujuaji ndo mwishowe huishia huko kugombana...
Amini nakwambia Mungu ni wa kwanza kwenye ndoa... huwezi jenga ndoa kwa maneno/mawazo ya watu au ya kwako... you need something special out of human control...
 
Wanajiita walokole haswaa
 
Una ndugu yako kaka/mdogo wako ambaye, hana sauti kwa mkewe, wakikorofishana ni kichapo matusi kwa kwenda mbele,siku mke akizidiwa nguvu anategea jamaa amelala fofofo anaanza kumshushia kipondo, ndugu wa karibu na marafiki wanajaribu kumshauri jamaa aachane na huyo mwanamke inashindikana kabisa, jamaa anakubali tu lakini hawezi kufanya maamuzi yoyote, jamaa anaanza kukosa raha mwili unapungua kwa Mawazo, na mwanamke katia ngumu hachomoki,ukiwa na ndugu yako wa namna hii utamsaidia vipi?
Mwache tu siku akizinduka atamwacha. Kuwa na subira maana ndoa ni ya wawili
 
Atakuwa alilishwa nyama ambayo imekaa kwenye "K" ndani ya wiki, Maana Ukilishwa ile walahi hata mke wako akisema kalale chooni unalala bila kipingamizi chechote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom