we unaweza kumpa?unampa kiroho saaaafi
Umepata safari kikazi wakati wa kupanga nguo zako mke wako anakuletea box la condom in case ikitokea dharura utumie unapokea kwa furaha na kusema asante kwa kunijali mke wangu, wakati upo kwenye gari mkeo anakukimbilia anakuomba pakiti moja kama na yeye akipata dharura atumie, je utampa??
wewe waweza mpa?Kwanini usimpe?
Tena kiroho safiwewe waweza mpa?
mi nampa bora atumie tu kingawe unaweza kumpa?